Numbers 3:51 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
akawapa Aroni na wanawe fedha hizo za fidia sawa na neno la Mwenyezi-Mungu kama alivyomwamuru.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Musa akampa Haruni na wanawe ile fedha ya ukombozi, kama alivyoamriwa na neno la Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kisha hizo fedha za ukombozi Musa akampa Haruni na wanawe, kama neno la Bwana, kama Bwana alivyomwagiza Musa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
akawapa Aroni na wanawe fedha hizo za fidia sawa na neno la Mwenyezi-Mungu kama alivyomwamuru.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mose akampa Aroni na wanawe ile fedha ya ukombozi, kama alivyoamuriwa na neno la BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Musa akampa Haruni na wanawe ile fedha ya ukombozi, kama alivyoamriwa na neno la bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kisha hizo fedha za ukombozi Musa akampa Haruni na wanawe, kama neno la BWANA, kama BWANA alivyomwagiza Musa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
akawapa Aroni na wanawe fedha hizo za fidia sawa na neno la Mwenyezi-Mungu kama alivyomwamuru.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Mose akampa Haroni na wanawe hizo fedha kwa ile amri ya Bwana, kama Bwana alivyomwagiza Mose.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kisha hizo fedha za ukombozi Musa akampa Haruni na wanawe, kama neno la BWANA, kama BWANA alivyomwagiza Musa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
akawapa Haruni na wana wake feza hizo za malipo sawa na neno la Yawe, kama vile alivyomwamuru.