Numbers 3:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Walete karibu watu wa kabila la Lawi, uwaweke mbele ya kuhani Aroni ili uwape jukumu la kumtumikia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Walete kabila la Lawi mbele ya Haruni kuhani ili wamsaidie.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ilete karibu kabila ya Lawi, ukawaweke mbele ya Haruni kuhani, ili wapate kumtumikia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Walete karibu watu wa kabila la Lawi, uwaweke mbele ya kuhani Aroni ili uwape jukumu la kumtumikia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Walete watu wa kabila la Lawi mbele ya Aroni kuhani ili wamsaidie.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Walete watu wa kabila la Lawi mbele ya Haruni kuhani ili wamsaidie.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lilete karibu kabila la Lawi, ukawaweke mbele ya Haruni kuhani, ili wapate kumtumikia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Walete karibu watu wa kabila la Lawi, uwaweke mbele ya kuhani Aroni ili uwape jukumu la kumtumikia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wafikishe hawa wana wa shina la Lawi, uwasimamishe mbele ya mtambikaji Haroni, wamtumikie.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ilete karibu kabila ya Lawi, ukawaweke mbele ya Haruni kuhani, ili wapate kumtumikia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uwalete karibu watu wa kabila la Lawi, uwaweke mbele ya kuhani Haruni wapate kumutumikia.