Numbers 30:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha Mose alizungumza na viongozi wa makabila ya Israeli, akawaambia, “Hili ndilo neno lililoamriwa na Mwenyezi-Mungu:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Musa akawaambia viongozi wa makabila ya Israeli: “Hili ndilo Mwenyezi Mungu analoagiza:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha Musa akanena na wale vichwa vya kabila za wana wa Israeli, na kuwaambia, Neno hili ndilo aliloliagiza Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Mose akawaambia Waisraeli kila kitu kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mose akawaambia viongozi wa makabila ya Israeli: “Hili ndilo BWANA analoagiza:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Musa akawaambia viongozi wa makabila ya Israeli: “Hili ndilo bwana analoagiza:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha Musa akanena na wale vichwa vya makabila ya wana wa Israeli, na kuwaambia, Neno hili ndilo aliloliagiza BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha Mose alizungumza na viongozi wa makabila ya Israeli, akawaambia, “Hili ndilo neno lililoamriwa na Mwenyezi-Mungu:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mose akawaambia wakuu wa mashia ya wana wa Isiraeli kwamba: Hili ndilo neno, Bwana aliloliagiza:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha Musa akanena na wale vichwa vya kabila za wana wa Israeli, na kuwaambia, Neno hili ndilo aliloliagiza BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Musa akawaambia Waisraeli kila kitu kama vile Yawe alivyomwamuru.