Numbers 30:17 — Compare Translations

2 translations compared side by side

Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hizi ndizo kanuni ambazo Mwenyezi-Mungu alimwagiza Mose juu ya mume na mkewe; baba na binti yake, huyo binti akiwa bado kijana na anakaa nyumbani kwa baba yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Haya ndiyo masharti ambayo Yawe alimwagiza Musa kati ya mume na muke wake, baba na binti yake, huyo binti akiwa bado kijana na anakaa katika nyumba ya baba yake.