Numbers 30:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Msichana ambaye bado anaishi nyumbani kwa baba yake akiweka nadhiri kwa Mwenyezi-Mungu na kujifunga mwenyewe kwa ahadi,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mwanamwali anayeishi bado nyumbani mwa baba yake atakapoweka nadhiri kwa Mwenyezi Mungu, ama akajifunga mwenyewe kwa ahadi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena mtu mke atakapomwekea Bwana nadhiri, na kufunga nafsi yake kwa kifungo, naye aketi katika nyumba ya babaye, katika ujana wake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mtu akiweka nadhiri kwa Mwenyezi-Mungu au akiahidi kwa kiapo na kujifunga nafsi yake kwa ahadi, ni lazima atimize ahadi yake; ni lazima atekeleze yote yale aliyotamka kwa kauli yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Wakati mwanamwali anayeishi bado nyumbani kwa baba yake atakapoweka nadhiri kwa BWANA, ama amejifunga mwenyewe kwa ahadi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Wakati mwanamwali anayeishi bado nyumbani kwa baba yake atakapoweka nadhiri kwa bwana, ama amejifunga mwenyewe kwa ahadi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena mwanamke atakapomwekea BWANA nadhiri, na kufunga nafsi yake kwa kifungo, naye aishi katika nyumba ya babaye, katika ujana wake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Msichana ambaye bado anaishi nyumbani kwa baba yake akiweka nadhiri kwa Mwenyezi-Mungu na kujifunga mwenyewe kwa ahadi,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwanamke akimwapia Bwana kumtolea cho chote, au akijifungia kiungo, akingali nyumbani mwa baba yake, au akingali kijana bado,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena mtu mke atakapomwekea BWANA nadhiri, na kufunga nafsi yake kwa kifungo, naye aketi katika nyumba ya babaye, katika ujana wake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutu akiahidi mbele ya Yawe au akifanya kiapo, anapaswa kutimiza ahadi yake. Anapaswa kushika yale yote aliyotamka kwa kinywa chake.