Numbers 30:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini kama mume wake akisikia jambo hilo akampinga, basi huyo mumewe atabatilisha nadhiri ya mkewe na tamko lake alilotoa bila kufikiri; naye Mwenyezi-Mungu atamsamehe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini ikiwa mume wake atamkataza atakaposikia kuhusu hilo, atakuwa ametangua nadhiri ambazo zilikuwa zimemfunga mkewe, ama ahadi aliyotamka pasipo kufikiri ambayo amejifunga kwayo, naye Mwenyezi Mungu atamweka huru yule mwanamke.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini kama mumewe akimkataza siku hiyo aliyolisikia; ndipo ataitangua nadhiri yake iliyo juu yake na neno alilolitamka kwa midomo yake pasipo kufikiri, alilojifungia; na Bwana atamsamehe
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
halafu mumewe akasikia jambo hilo asimpinge, basi nadhiri zake zitambana na ahadi zake zitambana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini ikiwa mume wake atamkataza atakaposikia kuhusu hilo, atakuwa ametangua nadhiri ambazo zilikuwa zimemfunga mkewe, ama ahadi aliyotamka pasipo kufikiri ambayo amejifunga kwayo, naye BWANA atamwacha huru yule mwanamke.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini ikiwa mume wake atamkataza atakaposikia kuhusu hilo, atakuwa ametangua nadhiri ambazo zilikuwa zimemfunga mkewe, ama ahadi aliyotamka pasipo kufikiri ambayo amejifunga kwayo, naye bwana atamweka huru yule mwanamke.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini kama mumewe akimkataza siku hiyo aliyolisikia; ndipo ataitangua nadhiri yake iliyo juu yake na neno alilolitamka kwa midomo yake pasipo kufikiri, alilojifungia; na BWANA atamsamehe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini kama mume wake akisikia jambo hilo akampinga, basi huyo mumewe atabatilisha nadhiri ya mkewe na tamko lake alilotoa bila kufikiri; naye Mwenyezi-Mungu atamsamehe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mumewe akimkataza siku hiyo, anapopata habari, basi, yeye atakuwa ameyatangua hayo mambo, aliyokuwa nayo kwa kuapa, nayo yale, midomo yake iliyojisemea tu ya kujifungia kifungo, naye Bwana atamwondolea jambo hilo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini kama mumewe akimkataza siku hiyo aliyolisikia; ndipo ataitangua nadhiri yake iliyo juu yake na neno alilolitamka kwa midomo yake pasipo kufikiri, alilojifungia; na BWANA atamsamehe
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
halafu mume wake akisikia jambo hilo naye hamupingi, muke wake atafungwa na kila kiapo au ahadi aliyofanya.