Numbers 31:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Miji yao yote, makazi yao na kambi zao zote waliziteketeza kwa moto.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walichoma moto miji yote ambayo Wamidiani walikuwa wanaishi, pamoja na kambi zao zote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na miji yao yote, kila mahali walipokuwa wakikaa, na marago yao yote wakayateketeza kwa moto.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Miji yao yote, makazi yao na kambi zao zote waliziteketeza kwa moto.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walichoma moto miji yote ambayo Wamidiani walikuwa wanaishi, pamoja na kambi zao zote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walichoma moto miji yote ambayo Wamidiani walikuwa wanaishi, pamoja na kambi zao zote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na miji yao yote, kila mahali walipokuwa wakikaa, na kambi zao zote wakayateketeza kwa moto.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Miji yao yote, makazi yao na kambi zao zote waliziteketeza kwa moto.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini miji yao yote, walimokaa, na makambi yenye mahema yao wakayateketeza kwa moto.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na miji yao yote, kila mahali walipokuwa wakikaa, na marago yao yote wakayateketeza kwa moto.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Miji yao yote, makao yao na kambi zao zote wakaziteketeza kwa moto.