Numbers 31:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walichukua nyara zote na mateka yote, ya watu na ya wanyama,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walichukua nyara zote na mateka, pamoja na watu na wanyama,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wakatwaa hizo nyara zote, na mateka yote, ya wanadamu na ya wanyama.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walichukua nyara zote na mateka yote, ya watu na ya wanyama,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walichukua nyara zote na mateka, pamoja na watu na wanyama,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walichukua nyara zote na mateka, pamoja na watu na wanyama,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wakatwaa hizo nyara zote, na mateka yote, ya wanadamu na ya wanyama.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walichukua nyara zote na mateka yote, ya watu na ya wanyama,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wakawachukua nyama wote na mateka yote, watu pamoja na nyama,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wakatwaa hizo nyara zote, na mateka yote, ya wanadamu na ya wanyama.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakabeba vitu vyote walivyonyanganya na vile vyote walivyoteka na watu na ya nyama,