Numbers 31:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose, kuhani Eleazari, na viongozi wote wa jumuiya ya Waisraeli walitoka kambini, wakaenda kuwalaki wanajeshi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Musa, kuhani Eleazari na viongozi wote wa jumuiya wakatoka kuwalaki nje ya kambi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Musa, na Eleazari kuhani, na wakuu wote wa huo mkutano, wakatoka nje kwenda kuwalaki nje ya marago.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose, kuhani Eleazari, na viongozi wote wa jumuiya ya Waisraeli walitoka kambini, wakaenda kuwalaki wanajeshi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mose, kuhani Eleazari na viongozi wote wa jumuiya wakatoka kuwalaki nje ya kambi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Musa, kuhani Eleazari na viongozi wote wa jumuiya wakatoka kuwalaki nje ya kambi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Musa, na Eleazari kuhani, na wakuu wote wa huo mkutano, wakatoka nje kwenda kuwalaki nje ya kambi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose, kuhani Eleazari, na viongozi wote wa jumuiya ya Waisraeli walitoka kambini, wakaenda kuwalaki wanajeshi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Mose na mtambikaji Elazari na wakuu wote wa mkutano walipotoka kwenda kukutana nao huko nje ya makambi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Musa, na Eleazari kuhani, na wakuu wote wa huo mkutano, wakatoka nje kwenda kuwalaki nje ya marago.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa, kuhani Eleazari, na viongozi wote wa Waisraeli wakatoka katika kambi, wakaenda kupokea waaskari.