Numbers 31:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose akawauliza, “Kwa nini mmewaacha wanawake hawa wote hai?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Musa akawauliza, “Je, mmewaacha wanawake wote hai?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Musa akawauliza, Je! Mmewaponya wanawake wote hai?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose akawauliza, “Kwa nini mmewaacha wanawake hawa wote hai?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mose akawauliza, “Je, mmewaacha wanawake wote hai?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Musa akawauliza, “Je, mmewaacha wanawake wote hai?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Musa akawauliza, Je! Mmewaponya wanawake wote hai?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose akawauliza, “Kwa nini mmewaacha wanawake hawa wote hai?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwa hiyo Mose akawaambia: Kumbe mmewaponya wanawake wote!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Musa akawauliza, Je! Mmewaponya wanawake wote hai?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa akawauliza: Kwa nini mumewaacha wanawake hawa wote wazima?