Numbers 31:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kumbukeni kwamba wanawake ndio waliofuata shauri la Balaamu, wakasababisha Waisraeli wamwasi Mwenyezi-Mungu kule Peori hata maradhi mabaya yakawajia watu wake Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanawake hao ndio waliofuata ushauri wa Balaamu, nao ndio waliowasababisha Waisraeli wamwasi Mwenyezi Mungu kwa kile kilichotokea kule Peori, na kwa hiyo pigo liliwapata watu wa Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, hawa ndio waliowakosesha wana wa Israeli, kwa shauri la Balaamu, wamfanyie Bwana dhambi katika hilo jambo la Peori, na kwa hivyo pigo lilikuwa katika mkutano wa Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kumbukeni kwamba wanawake ndio waliofuata shauri la Balaamu, wakasababisha Waisraeli wamwasi Mwenyezi-Mungu kule Peori hata maradhi mabaya yakawajia watu wake Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Wanawake hao ndio waliofuata ushauri wa Balaamu, nao ndio waliowasababisha Waisraeli wamwasi BWANA kwa kile kilichotokea kule Peori, na kwa hiyo pigo liliwapata watu wa BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Wanawake hao ndio waliofuata ushauri wa Balaamu, nao ndio waliowasababisha Waisraeli wamwasi bwana kwa kile kilichotokea kule Peori, na kwa hiyo pigo liliwapata watu wa bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, hawa ndio waliowakosesha wana wa Israeli, kwa shauri la Balaamu, wamfanyie BWANA dhambi katika hilo jambo la Peori, na kwa hiyo pigo lilikuwa katika mkutano wa BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kumbukeni kwamba wanawake ndio waliofuata shauri la Balaamu, wakasababisha Waisraeli wamwasi Mwenyezi-Mungu kule Peori hata maradhi mabaya yakawajia watu wake Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao ndio walioongozwa na Bileamu, wakawakosesha wana wa Isiraeli, wamvunjie Bwana maagano kwa ajili ya Peori, nao wa mkutano wa Bwana wakapatwa na pigo kwa sababu hiyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, hawa ndio waliowakosesha wana wa Israeli, kwa shauri la Balaamu, wamfanyie BWANA dhambi katika hilo jambo la Peori, na kwa hivyo pigo lilikuwa katika mkutano wa BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mukumbuke kwamba wanawake ndio waliofuata shauri la Balamu, wakasababisha Waisraeli wamwasi Yawe kule Peori hata ugonjwa mukali ukawafikia watu wa Yawe.