Numbers 31:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini msiwaue wasichana wote ambao hawajapata kulala na mwanamume; waacheni hai kwa ajili yenu wenyewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
lakini mwacheni hai kwa ajili yenu kila msichana ambaye hajawahi kulala na mwanaume.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini hao watoto wote wa kike ambao hawakumjua mume kwa kulala pamoja naye, mtawaweka hai kwa ajili yenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini msiwaue wasichana wote ambao hawajapata kulala na mwanamume; waacheni hai kwa ajili yenu wenyewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
lakini mwacheni hai kwa ajili yenu kila msichana ambaye kamwe hajawahi kuzini na mwanaume.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
lakini mwacheni hai kwa ajili yenu kila msichana ambaye kamwe hajawahi kuzini na mwanaume.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini hao wasichana wote ambao hawakumjua mwanamume kwa kulala pamoja naye, mtawaweka hai kwa ajili yenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini msiwaue wasichana wote ambao hawajapata kulala na mwanamume; waacheni hai kwa ajili yenu wenyewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini watoto wa kike wote wasiojua bado kulala nao wa kiume waponyeni, wakae kwenu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini hao watoto wote wa kike ambao hawakumjua mume kwa kulala pamoja naye, mtawaweka hai kwa ajili yenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini musiwaue wabinti wote ambao hawajapata kulala na mwanaume; muwaache wazima kwa ajili yenu wenyewe.