Numbers 31:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kuhani Eleazari akawaambia wanaume waliorudi vitani, “Hii ndiyo sheria ambayo Mwenyezi-Mungu amempa Mose.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha kuhani Eleazari aliwaambia askari waliokuwa wameenda vitani, “Haya ndio matakwa ya sheria ambayo Mwenyezi Mungu alimpa Musa:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha Eleazari kuhani akawaambia waume wa vita wote waliokwenda vitani, Hii ndiyo amri ya sheria Bwana aliyomwagiza Musa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kuhani Eleazari akawaambia wanaume waliorudi vitani, “Hii ndiyo sheria ambayo Mwenyezi-Mungu amempa Mose.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha kuhani Eleazari aliwaambia askari ambao walikuwa wamekwenda vitani, “Haya ndiyo matakwa ya sheria ambayo BWANA alimpa Mose:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha kuhani Eleazari aliwaambia askari waliokuwa wamekwenda vitani, “Haya ndiyo matakwa ya sheria ambayo bwana alimpa Musa:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha Eleazari kuhani akawaambia wanaume wa vita wote waliokwenda vitani, Hii ndiyo amri na sheria BWANA aliyomwagiza Musa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kuhani Eleazari akawaambia wanaume waliorudi vitani, “Hii ndiyo sheria ambayo Mwenyezi-Mungu amempa Mose.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye mtambikaji Elazari akawaambia askari waliotoka kwa kupiga vita: Haya ndiyo maongozi ya maonyo, Bwana aliyomwagiza Mose:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha Eleazari kuhani akawaambia waume wa vita wote waliokwenda vitani, Hii ndiyo amri ya sheria BWANA aliyomwagiza Musa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kuhani Eleazari akawaambia wanaume waliorudi toka kwa vita: Hii ndiyo sheria ambayo Yawe amemupa Musa.