Numbers 31:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Wewe na kuhani Eleazari, pamoja na viongozi wa koo za jumuiya ya Waisraeli, fanyeni hesabu ya nyara ya vitu, watu na wanyama.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Wewe na kuhani Eleazari pamoja na viongozi wa jamaa ya jumuiya mtahesabu watu wote na wanyama ambao walitekwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Fanya jumla ya hayo mateka ya wanadamu, na ya wanyama pia, wewe, na Eleazari kuhani, na wakuu wa nyumba za baba za mkutano;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Wewe na kuhani Eleazari, pamoja na viongozi wa koo za jumuiya ya Waisraeli, fanyeni hesabu ya nyara ya vitu, watu na wanyama.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Wewe na kuhani Eleazari pamoja na viongozi wa jamaa ya jumuiya mtahesabu watu wote na wanyama ambao walitekwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Wewe na kuhani Eleazari pamoja na viongozi wa jamaa ya jumuiya mtahesabu watu wote na wanyama ambao walitekwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Fanya jumla ya hayo mateka ya wanadamu, na ya wanyama pia, wewe, na Eleazari kuhani, na wakuu wa nyumba za baba za mkutano;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Wewe na kuhani Eleazari, pamoja na viongozi wa koo za jumuiya ya Waisraeli, fanyeni hesabu ya nyara ya vitu, watu na wanyama.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Toa jumla yao mateka, waliyoyapata ya watu na ya nyama, wewe pamoja na mtambikaji Elazari nao wakuu wa milango ya mkutano!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Fanya jumla ya hayo mateka ya wanadamu, na ya wanyama pia, wewe, na Eleazari kuhani, na wakuu wa nyumba za baba za mkutano;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe na kuhani Eleazari, pamoja na viongozi wa ukoo wa Waisraeli, mufanye hesabu ya vitu vilivyonyanganywa, watu na nyama.