Numbers 31:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Gaweni nyara katika mafungu mawili, fungu moja la wanajeshi waliokwenda vitani na fungu lingine kwa ajili ya jumuiya nzima.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Gawanyeni hizo nyara kati ya askari ambao walishiriki katika vita na kwa jumuiya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ukagawanye nyara mafungu mawili; kati ya watu waliozoea vita, waliotoka nje waende vitani, na huo mkutano wote;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Gaweni nyara katika mafungu mawili, fungu moja la wanajeshi waliokwenda vitani na fungu lingine kwa ajili ya jumuiya nzima.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Gawanyeni hizo nyara kati ya askari ambao walishiriki katika vita na kwa jumuiya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Gawanyeni hizo nyara kati ya askari ambao walishiriki katika vita na kwa jumuiya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ukagawanye nyara katika mafungu mawili; kati ya wanajeshi waliotoka nje kupigana vita na hiyo jumuiya nzima;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Gaweni nyara katika mafungu mawili, fungu moja la wanajeshi waliokwenda vitani na fungu lingine kwa ajili ya jumuiya nzima.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha hayo mapato uyatoe mafungu mawili, moja liwe lao walioshika kazi ya mapigano na kwenda vitani, la pili liwe lao wengine wote wa mkutano.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ukagawanye nyara mafungu mawili; kati ya watu waliozoea vita, waliotoka nje waende vitani, na huo mkutano wote;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mugawanye vitu katika mafungu mawili, fungu moja la waaskari waliokwenda kwa vita na fungu lingine kwa ajili ya watu wote wengine.