Numbers 31:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha kutokana na lile fungu la wanajeshi waliokwenda vitani, tenga zaka kwa ajili ya Mwenyezi-Mungu: Kitu kimoja kutoka kila vitu 500, iwe ni watu, ng'ombe, punda, kondoo au mbuzi,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kutoka fungu la wale walioenda kupigana vitani, tenga kama ushuru kwa ajili ya Mwenyezi Mungu kitu kimoja kati ya kila mia tano, ikiwa ni wanadamu, ng’ombe, punda, kondoo au mbuzi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kisha uwatoze hao watu wa vita waliotoka kwenda vitani sehemu kwa ajili ya Bwana; mmoja katika mia tano, katika wanadamu, na katika ng'ombe, na katika punda, na katika kondoo;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha kutokana na lile fungu la wanajeshi waliokwenda vitani, tenga zaka kwa ajili ya Mwenyezi-Mungu: kitu kimoja kutoka kila vitu 500, iwe ni watu, ng'ombe, punda, kondoo au mbuzi,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kutoka katika fungu la wale waliokwenda kupigana vitani, tenga kama ushuru kwa ajili ya BWANA kitu kimoja kati ya kila mia tano, ikiwa ni wanadamu, ng'ombe, punda, kondoo au mbuzi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kutoka fungu la wale waliokwenda kupigana vitani, tenga kama ushuru kwa ajili ya bwana kitu kimoja kati ya kila mia tano, ikiwa ni wanadamu, ng’ombe, punda, kondoo au mbuzi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kisha uwatoze hao watu wa vita waliotoka kwenda vitani sehemu kwa ajili ya BWANA; mmoja katika mia tano, katika wanadamu, na katika ng'ombe, na katika punda, na katika kondoo;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha kutokana na lile fungu la wanajeshi waliokwenda vitani, tenga zaka kwa ajili ya Mwenyezi-Mungu: Kitu kimoja kutoka kila vitu 500, iwe ni watu, ng'ombe, punda, kondoo au mbuzi,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wao waliokwenda kupiga vita uwatoze toleo limpasalo Bwana: kwa kila mia tano mmoja, kama ni watu au ng'ombe au punda au mbuzi au kondoo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kisha uwatoze hao watu wa vita waliotoka kwenda vitani sehemu kwa ajili ya BWANA; mmoja katika mia tano, katika wanadamu, na katika ng’ombe, na katika punda, na katika kondoo;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha kutokana na lile fungu la waaskari waliokwenda kwa vita, tenga sehemu ya kumi kwa ajili ya Yawe: kitu kimoja kutoka kila vitu mia tano, ikuwe ni watu, ngombe, punda, kondoo au mbuzi,