Numbers 31:29 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
umpe kuhani Eleazari kuwa sadaka kwa Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Chukua ushuru huu kutoka fungu lao, umpe kuhani Eleazari kuwa sehemu ya Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
twaa katika nusu yao, ukampe Eleazari kuhani, kuwa sadaka ya kuinuliwa kwa Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
umpe kuhani Eleazari kuwa sadaka kwa Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Chukua ushuru huu kutoka katika fungu lao, umpe kuhani Eleazari kama sehemu ya BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Chukua ushuru huu kutoka fungu lao, umpe kuhani Eleazari kama sehemu ya bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
twaa katika nusu yao, ukampe Eleazari kuhani, kuwa sadaka ya kuinuliwa kwa BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
umpe kuhani Eleazari kuwa sadaka kwa Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo ndivyo, utakavyowatoza katika nusu yao, umpe mtambikaji Elazari kuwa vipaji vya tambiko vya kumnyanyulia Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
twaa katika nusu yao, ukampe Eleazari kuhani, kuwa sadaka ya kuinuliwa kwa BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
umupe kuhani Eleazari kuwa sadaka kwa Yawe.