Numbers 31:32 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nyara walizoteka wanajeshi zilikuwa: Kondoo 675,000,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nyara zilizobaki kutoka mateka ambayo askari walichukua ni kondoo elfu mia sita na sabini na tano,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi masazo ya hizo nyara walizotwaa watu wa vita, zilikuwa ni kondoo mia sita na sabini na tano elfu,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nyara walizoteka wanajeshi zilikuwa: kondoo 675,000,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nyara zilizobaki kutoka katika mateka ambayo askari walichukua ni kondoo 675,000,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nyara zilizobaki kutoka mateka ambayo askari walichukua ni kondoo 675,000,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi masazo ya hizo nyara walizotwaa watu wa vita, zilikuwa ni kondoo elfu mia sita na sabini na tano,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nyara walizoteka wanajeshi zilikuwa: Kondoo 675,000,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Masao ya nyara, watu wa vita walizozichukua, mapato hayo yalikuwa mbuzi na kondoo pamoja 675000,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi masazo ya hizo nyara walizotwaa watu wa vita, zilikuwa ni kondoo mia sita na sabini na tano elfu,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vitu watu waliotoka kwa vita walivyonyanganya vilikuwa: kondoo elfu mia sita na makumi saba na tano,