Numbers 31:35 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na wasichana ambao hawakuwa wamelala na mwanamume 32,000.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na wanawake elfu thelathini na mbili ambao hawakuwahi kulala na mwanaume.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
tena wanadamu jumla yao ilikuwa thelathini na mbili elfu, katika hao wanawake ambao hawakumjua mume kwa kulala pamoja naye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na wasichana ambao hawakuwa wamelala na mwanamume 32,000.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na wanawake 32,000 ambao hawakumjua mume kwa kufanya tendo la ndoa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na wanawake 32,000 ambao hawakumjua mume kwa kufanya tendo la ndoa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
tena wanadamu jumla yao ilikuwa elfu thelathini na mbili, katika hao wanawake ambao hawakumjua mwanamume kwa kulala pamoja naye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na wasichana ambao hawakuwa wamelala na mwanamume 32,000.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wana wa kike wasiojua bado kulala na mtu wa kiume wote pamoja walikuwa 32000.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
tena wanadamu jumla yao ilikuwa thelathini na mbili elfu, katika hao wanawake ambao hawakumjua mume kwa kulala pamoja naye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na wabinti elfu makumi tatu na mbili ambao hawakukuwa wamelala na mwanaume.