Numbers 31:36 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nusu yake, sehemu ambayo iligawiwa wanajeshi waliokwenda vitani, ilikuwa kondoo 337,500,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nusu ya fungu la wale waliopigana vitani lilikuwa: Kondoo elfu mia tatu na thelathini na saba na mia tano,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hiyo nusu ambayo ilikuwa ni sehemu ya hao waliotoka kwenda vitani, hesabu yake ilikuwa kondoo mia tatu na thelathini na saba elfu na mia tano;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nusu yake, sehemu ambayo iligawiwa wanajeshi waliokwenda vitani, ilikuwa kondoo 337,500,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nusu ya fungu la wale waliokwenda kupigana vitani lilikuwa: Kondoo 337,500
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nusu ya fungu la wale waliokwenda kupigana vitani lilikuwa: Kondoo 337,500
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hiyo nusu ambayo ilikuwa ni sehemu ya hao waliotoka kwenda vitani, idadi yake ilikuwa kondoo elfu mia tatu na thelathini na saba na mia tano;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nusu yake, sehemu ambayo iligawiwa wanajeshi waliokwenda vitani, ilikuwa kondoo 337,500,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwa hiyo ile nusu iliyokuwa fungu lao waliokwenda vitani, hesabu ya mbuzi na kondoo ilikuwa 337500.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hiyo nusu ambayo ilikuwa ni sehemu ya hao waliotoka kwenda vitani, hesabu yake ilikuwa kondoo mia tatu na thelathini na saba elfu na mia tano;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nusu yake, sehemu ambayo iligawanyiwa kwa waaskari waliokwenda kwa vita, ilikuwa kondoo elfu mia tatu makumi tatu na saba na mia tano,