Numbers 31:37 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
katika hao 675 walitolewa kwa Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ambao ushuru kwa ajili ya Mwenyezi Mungu ulikuwa kondoo mia sita na sabini na watano (675);
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na kodi ya Bwana katika hao kondoo ilikuwa kondoo mia sita na sabini na watano.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
katika hao 675 walitolewa kwa Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ambayo ushuru kwa ajili ya BWANA ilikuwa kondoo 675;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ambayo ushuru kwa ajili ya bwana ilikuwa kondoo 675;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na kodi ya BWANA katika hao kondoo ilikuwa kondoo mia sita na sabini na watano.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
katika hao 675 walitolewa kwa Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nalo toleo lililompasa Bwana la hao mbuzi na kondoo lilikuwa 675.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na kodi ya BWANA katika hao kondoo ilikuwa kondoo mia sita na sabini na watano.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
katika hao mia sita makumi saba na watano walitolewa kwa Yawe.