Numbers 31:38 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ngombe wa wanajeshi walikuwa 36,000, na katika hao 72 walitolewa zaka kwa Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ng’ombe elfu thelathini na sita, ambao ushuru kwa ajili ya Mwenyezi Mungu ulikuwa ng’ombe sabini na wawili;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena, ng'ombe walikuwa thelathini na sita elfu; na katika hao kodi ya Bwana ilikuwa ng'ombe sabini na wawili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ng'ombe wa wanajeshi walikuwa 36,000, na katika hao 72 walitolewa zaka kwa Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ng'ombe 36,000 ambao ushuru kwa ajili ya BWANA ulikuwa ng'ombe 72;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ng’ombe 36,000 ambao ushuru kwa ajili ya bwana ulikuwa ng’ombe 72;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena, ng'ombe walikuwa elfu thelathini na sita; na katika hao kodi ya BWANA ilikuwa ng'ombe sabini na wawili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ngombe wa wanajeshi walikuwa 36,000, na katika hao 72 walitolewa zaka kwa Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao ng'ombe wao walkuwa 36000, nalo toleo lao lililompasa Bwana lilikuwa ng'ombe 72.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena, ng’ombe walikuwa thelathini na sita elfu; na katika hao kodi ya BWANA ilikuwa ng’ombe sabini na wawili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ngombe wa waaskari walikuwa elfu makumi tatu na sita, na katika hao makumi saba na wawili walitolewa sehemu ya kumi kwa Yawe.