Numbers 31:39 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Punda wao walikuwa 30,500, na katika hao 61 walitolewa zaka kwa Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
punda elfu thelathini na mia tano, ambao ushuru kwa ajili ya Mwenyezi Mungu ulikuwa punda sitini na mmoja;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na punda walikuwa thelathini elfuna mia tano, katika hao kodi ya Bwana ilikuwa punda sitini na mmoja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Punda wao walikuwa 30,500, na katika hao 61 walitolewa zaka kwa Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
punda 30,500 ambao ushuru kwa ajili ya BWANA ulikuwa punda 61;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
punda 30,500 ambao ushuru kwa ajili ya bwana ulikuwa punda 61;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na punda walikuwa elfu thelathini na mia tano, katika hao kodi ya BWANA ilikuwa punda sitini na mmoja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Punda wao walikuwa 30,500, na katika hao 61 walitolewa zaka kwa Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao punda walikuwa 30500, nalo toleo lao lililompasa Bwana lilikuwa 61.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na punda walikuwa thelathini elfuna mia tano, katika hao kodi ya BWANA ilikuwa punda sitini na mmoja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Punda wao walikuwa elfu makumi tatu mia tano, na katika hao makumi sita na mumoja walitolewa sehemu ya kumi kwa Yawe.