Numbers 31:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutoka kila kabila la Israeli, mtapeleka watu 1.000 vitani.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Peleka wanaume elfu moja vitani kutoka kila kabila la Israeli.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika kila kabila mtatoa watu elfu, katika kabila zote za Israeli, nanyi mtawapeleka waende vitani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutoka kila kabila la Israeli, mtapeleka watu 1,000 vitani.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Peleka wanaume 1,000 vitani kutoka kila kabila la Israeli.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Peleka wanaume 1,000 vitani kutoka kila kabila la Israeli.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika kila kabila mtatoa watu elfu moja, katika kabila zote za Israeli, nanyi mtawatuma waende vitani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutoka kila kabila la Israeli, mtapeleka watu 1.000 vitani.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwao mashina ya Waisiraeli kila shina moja litoe watu elfu moja na kuwatuama kwenda vitani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika kila kabila mtatoa watu elfu, katika kabila zote za Israeli, nanyi mtawapeleka waende vitani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutoka kila kabila la Israeli, mutapeleka watu elfu moja kwa vita.