Numbers 31:40 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu walikuwa 16,000, na katika hao sehemu ya Mwenyezi-Mungu ilikuwa ni watu thelathini na wawili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu elfu kumi na sita, ambao ushuru kwa ajili ya Mwenyezi Mungu ulikuwa watu thelathini na wawili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wanadamu walikuwa watu kumi na sita elfu; katika hao sehemu ya Bwana ilikuwa ni watu thelathini na wawili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu walikuwa 16,000, na katika hao sehemu ya Mwenyezi-Mungu ilikuwa ni watu thelathini na wawili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu 16,000 ambao ushuru kwa ajili ya BWANA ulikuwa watu 32.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu 16,000 ambao ushuru kwa ajili ya bwana ulikuwa watu 32.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wanadamu walikuwa watu elfu kumi na sita; katika hao sehemu ya BWANA ilikuwa ni watu thelathini na wawili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu walikuwa 16,000, na katika hao sehemu ya Mwenyezi-Mungu ilikuwa ni watu thelathini na wawili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao watu wao walikuwa 16000, nalo toleo lao lililompasa Bwana lilikuwa watu 32.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wanadamu walikuwa watu kumi na sita elfu; katika hao sehemu ya BWANA ilikuwa ni watu thelathini na wawili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu walikuwa elfu kumi na sita, na katika hao sehemu ya Yawe ilikuwa ni watu makumi tatu na wawili.