Numbers 31:42 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ile nusu waliopewa Waisraeli, ambayo Mose aliitenga na ile nusu waliyopewa wanajeshi waliokwenda vitani,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ile nusu iliyokuwa ya Waisraeli, ambayo Musa aliitenga kutoka kwa ile ya watu waliopigana vitani,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena katika hiyo nusu iliyokuwa ya wana wa Israeli, ambayo Musa aliitenga na watu waliokwenda vitani,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ile nusu waliopewa Waisraeli, ambayo Mose aliitenga na ile nusu waliyopewa wanajeshi waliokwenda vitani,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ile nusu iliyokuwa ya Waisraeli, ambayo Mose aliitenga kutoka kwa ile ya watu waliokwenda vitani,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ile nusu iliyokuwa ya Waisraeli, ambayo Musa aliitenga kutoka kwa ile ya watu waliokwenda vitani,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena katika hiyo nusu iliyokuwa ya wana wa Israeli, ambayo Musa aliitenga na watu waliokwenda vitani,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ile nusu waliopewa Waisraeli, ambayo Mose aliitenga na ile nusu waliyopewa wanajeshi waliokwenda vitani,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo nusu nyingine ya wana wa Isiraeli, Mose aliyoiondoa kwao waliokwenda kuvipiga hivyo vita,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena katika hiyo nusu iliyokuwa ya wana wa Israeli, ambayo Musa aliitenga na watu waliokwenda vitani,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ile nusu Waisraeli waliyopewa, ambayo Musa alitenga na ile nusu waaskari waliokwenda kwa vita waliyopewa,