Numbers 31:48 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha maofisa wa majeshi, makapteni na makamanda wa askari wakamwendea Mose,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha maafisa waliokuwa juu ya vikosi vya jeshi, wakuu wa jeshi wa maelfu na wakuu wa jeshi wa mamia, walimwendea Musa
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na majemadari waliokuwa juu ya elfu elfu za hiyo jeshi, na maakida wa elfu elfu, na maakida wa mia mia, wakamkaribia Musa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha maofisa wa majeshi, makapteni na makamanda wa askari wakamwendea Mose,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha maafisa ambao walikuwa juu ya vikosi vya jeshi, wakuu wa jeshi wa maelfu na wakuu wa jeshi wa mamia, walimwendea Mose
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha maafisa waliokuwa juu ya vikosi vya jeshi, wakuu wa jeshi wa maelfu na wakuu wa jeshi wa mamia, walimwendea Musa
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na majemadari waliokuwa juu ya maelfu ya hilo jeshi, na viongozi wa maelfu, na viongozi wa mamia, wakamkaribia Musa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha maofisa wa majeshi, makapteni na makamanda wa askari wakamwendea Mose,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha waliowekwa kuyasimamia maelfu ya vikosi, wale wakuu wa maelfu na wa mamia wakamkaribia Mose,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na majemadari waliokuwa juu ya elfu elfu za hiyo jeshi, na maakida wa elfu elfu, na maakida wa mia mia, wakamkaribia Musa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha wakubwa wa majeshi, makapiteni na majemadari wa jeshi wakamwendea Musa