Numbers 31:49 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wakamwambia “Watumishi wako tumewahesabu askari wote walio chini yetu na tumeona kwamba hakuna hata mmoja wao anayekosekana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na kumwambia, “Watumishi wako wamehesabu askari walio chini ya amri yetu na hakuna hata mmoja aliyekosekana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wakamwambia Musa wakisema, Sisi watumishi wako tumefanya jumla ya hesabu ya watu wa vita walio chini ya mikono yetu, na hapana hata mmoja aliyetupungukia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wakamwambia “Watumishi wako tumewahesabu askari wote walio chini yetu na tumeona kwamba hakuna hata mmoja wao anayekosekana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na kumwambia, “Watumishi wako wamehesabu askari walio chini ya amri yetu na hakuna hata mmoja aliyekosekana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na kumwambia, “Watumishi wako wamehesabu askari walio chini ya amri yetu na hakuna hata mmoja aliyekosekana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wakamwambia Musa wakisema, Sisi watumishi wako tumefanya jumla ya hesabu ya watu wa vita walio chini ya mikono yetu, na hapana hata mmoja aliyetupungukia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wakamwambia “Watumishi wako tumewahesabu askari wote walio chini yetu na tumeona kwamba hakuna hata mmoja wao anayekosekana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wakamwambia Mose: Sisi watumishi wako tumetoa jumla ya watu wa vita, tuliowashika mikononi mwetu, namo miongoni mwao hakukoseka hata mmoja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wakamwambia Musa wakisema, Sisi watumishi wako tumefanya jumla ya hesabu ya watu wa vita walio chini ya mikono yetu, na hapana hata mmoja aliyetupungukia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wakamwambia: Sisi watumishi wako tumewahesabu waaskari wote wanaokuwa chini yetu na tumeona kwamba hakuna hata mumoja wao anayekosekana.