Numbers 31:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, watu 1,000 walitolewa kutoka kila kabila miongoni mwa maelfu ya Waisraeli, jumla wanaume 12,000 wenye silaha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo waliandaliwa wanaume elfu kumi na mbili kwa vita, wanaume elfu moja kutoka kila kabila, walitolewa kutoka koo za Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi walitolewa katika maelfu ya Israeli, elfu moja ya kila kabila, watu waume kumi na mbili elfu walioandaliwa kwa vita.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, watu 1,000 walitolewa kutoka kila kabila miongoni mwa maelfu ya Waisraeli, jumla wanaume 12,000 wenye silaha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo waliandaliwa wanaume 12,000 kwa vita, wanaume 1,000 kutoka kila kabila, walitolewa kutoka koo za Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo waliandaliwa wanaume 12,000 kwa vita, wanaume 1,000 kutoka kila kabila, walitolewa kutoka koo za Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi walitolewa katika maelfu ya Israeli, elfu moja ya kila kabila, wanaume elfu kumi na mbili walioandaliwa kwa vita.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, watu 1,000 walitolewa kutoka kila kabila miongoni mwa maelfu ya Waisraeli, jumla wanaume 12,000 wenye silaha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo wakatolewa katika maelfu ya Waisiraeli elfu moja katika kila shina, wakawa watu maelfu kumi na mawili waliotengenezwa kwenda vitani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi walitolewa katika maelfu ya Israeli, elfu moja ya kila kabila, watu waume kumi na mbili elfu walioandaliwa kwa vita.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, watu elfu moja walitolewa kutoka kila kabila kati ya maelfu ya Waisraeli, jumla wanaume elfu kumi na mbili wenye silaha.