Numbers 31:51 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose na kuhani Eleazari wakapokea vitu vyote vilivyonakshiwa kwa dhahabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Musa na kuhani Eleazari wakapokea kutoka kwao dhahabu, yaani vyombo vyote vilivyonakshiwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Musa na Eleazari kuhani wakapokea kwao hiyo dhahabu, maana, vile vyombo vyote vilivyofanyizwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose na kuhani Eleazari wakapokea vitu vyote vilivyonakshiwa kwa dhahabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mose na kuhani Eleazari wakapokea kutoka kwao dhahabu, yaani vyombo vyote vilivyonakishiwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Musa na kuhani Eleazari wakapokea kutoka kwao dhahabu, yaani vyombo vyote vilivyonakshiwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Musa na Eleazari kuhani wakapokea kwao hiyo dhahabu, yaani, vile vyombo vyote vilivyofanyizwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose na kuhani Eleazari wakapokea vitu vyote vilivyonakshiwa kwa dhahabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mose na mtambikaji Elazari wakachukua kwao hizo dhahabu zilizotengenezwa kuwa hivyo vyombo vyote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Musa na Eleazari kuhani wakapokea kwao hiyo dhahabu, maana, vile vyombo vyote vilivyofanyizwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa na kuhani Eleazari wakapokea vitu vyote vilivyopambwa kwa zahabu.