Numbers 31:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waliishambulia nchi ya Midiani, kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose, wakawaua wanaume wote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walipigana dhidi ya Wamidiani, kama Mwenyezi Mungu alivyomwagiza Musa, nao waliua kila mwanaume.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wakapigana na Midiani kama Bwana alivyomwagiza Musa; nao wakamwua kila mume.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waliishambulia nchi ya Midiani, kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose, wakawaua wanaume wote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walipigana dhidi ya Wamidiani, kama BWANA alivyomwagiza Mose, nao waliua kila mwanaume.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walipigana dhidi ya Wamidiani, kama bwana alivyomwagiza Musa, nao waliua kila mwanaume.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wakapigana na Midiani kama BWANA alivyomwagiza Musa; nao wakawaua kila mwanamume.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waliishambulia nchi ya Midiani, kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose, wakawaua wanaume wote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakaenda vitani kupigana na adui, kama Bwana alivyomwagiza Mose, wakawaua wa kiume wote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wakapigana na Midiani kama BWANA alivyomwagiza Musa; nao wakamwua kila mume.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakashambulia inchi ya Midiani, kama vile Yawe alivyomwamuru Musa, wakawaua wanaume wote.