Numbers 32:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Makabila ya Reubeni na Gadi yalikuwa na mifugo mingi sana. Basi, walipoona kwamba eneo la Yazeri na Gadi lilifaa kwa mifugo,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Wareubeni na Wagadi, waliokuwa na makundi makubwa ya ng’ombe, kondoo na mbuzi, waliona kuwa nchi ya Yazeri na nchi ya Gileadi ni nzuri kwa mifugo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi wana wa Reubeni, na hao wana wa Gadi, walikuwa na wanyama wa mifugo wengi sana; nao walipoona nchi ya Yazeri, na nchi ya Gileadi, ya kuwa mahali hapo palikuwa ni mahali pa kuwafaa wanyama;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Makabila ya Reubeni na Gadi yalikuwa na mifugo mingi sana. Basi, walipoona kwamba eneo la Yazeri na Gadi lilifaa kwa mifugo,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kabila la Wareubeni na Wagadi, ambao walikuwa na makundi makubwa ya ng'ombe, kondoo na mbuzi, waliona kuwa nchi ya Yazeri na nchi ya Gileadi ni nzuri kwa mifugo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kabila la Wareubeni na Wagadi, waliokuwa na makundi makubwa ya ng’ombe, kondoo na mbuzi, waliona kuwa nchi ya Yazeri na nchi ya Gileadi ni nzuri kwa mifugo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi wana wa Reubeni, na hao wana wa Gadi, walikuwa na wanyama wa kufugwa wengi sana; nao walipoona nchi ya Yazeri, na nchi ya Gileadi, ya kuwa mahali hapo palikuwa ni mahali pa kuwafaa wanyama;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Makabila ya Reubeni na Gadi yalikuwa na mifugo mingi sana. Basi, walipoona kwamba eneo la Yazeri na Gadi lilifaa kwa mifugo,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa Rubeni na wana wa Gadi walikuwa na nyama wa kufuga wengi sanasana; walipoitazama nchi ya Yazeri na nchi ya Gileadi wakaziona kuwa zenye mahali pengipengi panapofaa pa kufugia nyama.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi wana wa Reubeni, na hao wana wa Gadi, walikuwa na wanyama wa mifugo wengi sana; nao walipoona nchi ya Yazeri, na nchi ya Gileadi, ya kuwa mahali hapo palikuwa ni mahali pa kuwafaa wanyama;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Makabila ya Rubeni na Gadi yalikuwa na mifugo mingi sana. Basi, walipoona kwamba eneo la Yazeri na Gileadi lilifaa kwa mifugo,