Numbers 32:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu aliwaka hasira siku hiyo, akaapa akisema,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku ile hasira ya Mwenyezi Mungu iliwaka naye akaapa kiapo hiki:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na siku ile hasira za Bwana ziliwaka, naye akaapa, akisema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu aliwaka hasira siku hiyo, akaapa akisema,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku ile hasira ya BWANA iliwaka naye akaapa kiapo hiki:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku ile hasira ya bwana iliwaka naye akaapa kiapo hiki:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na siku ile hasira za BWANA ziliwaka, naye akaapa, akisema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu aliwaka hasira siku hiyo, akaapa akisema,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku hiyo makali ya Bwana yakawaka, akaapa kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na siku ile hasira za BWANA ziliwaka, naye akaapa, akisema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe akawaka hasira siku hiyo, akaapa akisema: