Numbers 32:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wote hawataiona, isipokuwa Kalebu mwana wa Yefune, Mkenizi, na Yoshua mwana wa Nuni, maana wao wamenitii kikamilifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
hakuna hata mmoja isipokuwa Kalebu mwana wa Yefune, Mkenizi, na Yoshua mwana wa Nuni, kwa sababu walimfuata Mwenyezi Mungu kwa moyo wote.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ila Kalebu mwana wa Yefune, Mkenizi, na Yoshua mwana wa Nuni; kwa kuwa wao wamemwandama Bwana kwa moyo wote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wote hawataiona, isipokuwa Kalebu mwana wa Yefune, Mkenizi, na Yoshua mwana wa Nuni, maana wao wamenitii kikamilifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
hakuna hata mmoja isipokuwa Kalebu mwana wa Yefune, Mkenizi, na Yoshua mwana wa Nuni, kwa sababu walimfuata BWANA kwa moyo wote.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
hakuna hata mmoja isipokuwa Kalebu mwana wa Yefune, Mkenizi, na Yoshua mwana wa Nuni, kwa sababu walimfuata bwana kwa moyo wote.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ila Kalebu mwana wa Yefune, Mkenizi, na Yoshua mwana wa Nuni; kwa kuwa wao wamemwandama BWANA kwa moyo wote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wote hawataiona, isipokuwa Kalebu mwana wa Yefune, Mkenizi, na Yoshua mwana wa Nuni, maana wao wamenitii kikamilifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ila Kalebu, mwana wa Mkenizi Yefune, na Yosua, mwana wa Nuni, hawa tu wataiingia, kwa kuwa wamemfuata Bwana kwa mioyo yote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ila Kalebu mwana wa Yefune, Mkenizi, na Yoshua mwana wa Nuni; kwa kuwa wao wamemwandama BWANA kwa moyo wote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wote hawataiona, isipokuwa Kalebu mwana wa Yefune wa ukoo wa Kenizi na Yoshua mwana wa Nuni, maana wao wamenitii kwa ukamilifu.