Numbers 32:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na sasa, enyi kizazi cha wenye dhambi, mmezuka mahali pa wazee wenu, kuongeza tena hasira kali ya Mwenyezi-Mungu dhidi ya Waisraeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Nanyi mko hapa, uzao wa wenye dhambi, mkisimamia mahali pa baba zenu na mkimfanya Mwenyezi Mungu kuwakasirikia Waisraeli hata zaidi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na tazama, ninyi mmeinuka badala ya baba zenu, maongeo ya watu wenye dhambi, ili kuongeza tena hizo hasira kali za Bwana juu ya Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na sasa, enyi kizazi cha wenye dhambi, mmezuka mahali pa wazee wenu, kuongeza tena hasira kali ya Mwenyezi-Mungu dhidi ya Waisraeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Nanyi mko hapa, uzao wa wenye dhambi, mkisimamia mahali pa baba zenu na mkimfanya BWANA kuwakasirikia Waisraeli hata zaidi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Nanyi mko hapa, uzao wa wenye dhambi, mkisimamia mahali pa baba zenu na mkimfanya bwana kuwakasirikia Waisraeli hata zaidi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na tazama, ninyi kizazi cha watu wenye dhambi, mmeinuka badala ya baba zenu ili kuongeza tena hizo hasira kali za BWANA juu ya Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na sasa, enyi kizazi cha wenye dhambi, mmezuka mahali pa wazee wenu, kuongeza tena hasira kali ya Mwenyezi-Mungu dhidi ya Waisraeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa ninawaona ninyi, ya kama mmeinuka mahali pa baba zenu na kujitokeza kuwa wana wao wale wakosaji, mwuongeze moto wa makali ya Bwana, uzidi kuwawakia wana wa Isiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na tazama, ninyi mmeinuka badala ya baba zenu, maongeo ya watu wenye dhambi, ili kuongeza tena hizo hasira kali za BWANA juu ya Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na sasa, enyi kizazi cha wenye zambi, mumesimama kwa pahali pa wazee wenu, kuongeza tena hasira kali ya Yawe juu ya Waisraeli.