Numbers 32:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama nyinyi mkikataa kumfuata, yeye atawaacheni tena jangwani, nanyi mtasababisha watu hawa wote waangamie.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mkigeuka na kuacha kumfuata, atawaacha tena watu hawa wote jangwani, na mtakuwa sababu ya maangamizi yao.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa mkigeuka msimwandame, yeye atawaacha tena nyikani; nanyi mtawaangamiza watu hawa wote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama nyinyi mkikataa kumfuata, yeye atawaacheni tena jangwani, nanyi mtasababisha watu hawa wote waangamie.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama mkigeuka na mkiacha kumfuata, atawaacha tena watu hawa wote jangwani, na mtakuwa sababu ya maangamizi yao.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama mkigeuka na mkiacha kumfuata, atawaacha tena watu hawa wote jangwani, na mtakuwa sababu ya maangamizi yao.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa mkigeuka msimfuate, yeye atawaacha tena nyikani; nanyi mtawaangamiza watu hawa wote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama nyinyi mkikataa kumfuata, yeye atawaacheni tena jangwani, nanyi mtasababisha watu hawa wote waangamie.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mkirudi nyuma na kumwacha, naye atawaacha tena siku nyingi nyikani; ndivyo, mtakavyowaangamiza hawa watu wote pia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa mkigeuka msimwandame, yeye atawaacha tena nyikani; nanyi mtawaangamiza watu hawa wote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama ninyi mukikataa kumufuata, yeye atawaachilia tena katika jangwa, nanyi mutasababisha watu hawa wote waangamie.