Numbers 32:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hatutarudi nyumbani hadi hapo Waisraeli wengine wote watakapomiliki maeneo yao waliyogawiwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hatutarudi nyumbani mwetu hadi kila Mwisraeli apokee urithi wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sisi hatutarudia nyumba zetu, hata wana wa Israeli watakapokuwa wamekwisha kurithi kila mtu urithi wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hatutarudi nyumbani hadi hapo Waisraeli wengine wote watakapomiliki maeneo yao waliyogawiwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hatutarudi nyumbani mwetu mpaka kila Mwisraeli amepokea urithi wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hatutarudi nyumbani mwetu mpaka kila Mwisraeli apokee urithi wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sisi hatutarudia nyumba zetu, hata wana wa Israeli watakapokuwa wamekwisha kurithi kila mtu urithi wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hatutarudi nyumbani hadi hapo Waisraeli wengine wote watakapomiliki maeneo yao waliyogawiwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hatutarudi nyumbani kwetu, mpaka wana wa Isiraeli watakapokwisha kupata kila mtu fungu lake mwenyewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sisi hatutarudia nyumba zetu, hata wana wa Israeli watakapokuwa wamekwisha kurithi kila mtu urithi wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hatutarudi kwenye nyumba mpaka pale Waisraeli wengine wote watakaporizi maeneo yao waliyogawanyiwa.