Numbers 32:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
waliwaendea Mose, kuhani Eleazari na viongozi wa jumuiya, wakawaambia,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo walimjia Musa, na kuhani Eleazari na viongozi wa jumuiya, na kuwaambia,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
hao wana wa Gadi, na wana wa Reubeni, wakamwendea Musa na Eleazari kuhani, na wakuu wa mkutano, wakanena nao, wakisema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
waliwaendea Mose, kuhani Eleazari na viongozi wa jumuiya, wakawaambia,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo walimjia Mose, na kuhani Eleazari na viongozi wa jumuiya, na kuwaambia,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo walimjia Musa, na kuhani Eleazari na viongozi wa jumuiya, na kuwaambia,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
hao wana wa Gadi, na wana wa Reubeni, wakamwendea Musa na Eleazari kuhani, na wakuu wa mkutano, wakanena nao, wakisema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
waliwaendea Mose, kuhani Eleazari na viongozi wa jumuiya, wakawaambia,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo wana wa Gadi na wana wa Rubeni wakamjia Mose na mtambikaji Elazari na wakuu wa mkutano, wakawaambia:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
hao wana wa Gadi, na wana wa Reubeni, wakamwendea Musa na Eleazari kuhani, na wakuu wa mkutano, wakanena nao, wakisema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wakawaendea Musa, kuhani Eleazari na viongozi wa Waisraeli, wakawaambia:

Recommended Reading