Numbers 32:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose akawaambia, “Kama kweli mtafanya kama mlivyosema, basi papa hapa mbele ya Mwenyezi-Mungu, chukueni silaha zenu kwenda vitani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Musa akawaambia, “Kama mtafanya jambo hili, kama mtajivika silaha mbele za Mwenyezi Mungu kwa ajili ya vita,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Musa akawaambia, Kama mtafanya jambo hili; kama mtajivika silaha, ili kutangulia mbele ya Bwana mwende vitani,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose akawaambia, “Kama kweli mtafanya kama mlivyosema, basi papa hapa mbele ya Mwenyezi-Mungu, chukueni silaha zenu kwenda vitani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Mose akawaambia, “Kama mtafanya jambo hili, kama mtajivika silaha mbele za BWANA kwa ajili ya vita,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Musa akawaambia, “Kama mtafanya jambo hili, kama mtajivika silaha mbele za bwana kwa ajili ya vita,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Musa akawaambia, Kama mtafanya jambo hili; kama mtajivika silaha, ili kutangulia mbele za BWANA mwende vitani,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose akawaambia, “Kama kweli mtafanya kama mlivyosema, basi papa hapa mbele ya Mwenyezi-Mungu, chukueni silaha zenu kwenda vitani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Mose alipowaambia: Mkilifanya neno hili na kujitengeneza kwenda vitani mbele ya Bwana,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Musa akawaambia, Kama mtafanya jambo hili; kama mtajivika silaha, ili kutangulia mbele ya BWANA mwende vitani,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa akawaambia: Kama kweli mutafanya kama vile mulivyosema, basi hapahapa mbele ya Yawe, mutwae silaha zenu kwenda kwa vita.