Numbers 32:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila mpiganaji wenu atavuka mto Yordani na mkiwa chini ya uongozi wa Mwenyezi-Mungu, mtawashambulia adui zetu mpaka Mwenyezi-Mungu awashinde,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na kama ninyi nyote mtaenda mmejivika silaha ng’ambo ya Yordani mbele za Mwenyezi Mungu hadi awe amewafukuza adui zake mbele zake,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
tena kama kila mume wa kwenu mwenye kuchukua silaha atavuka Yordani mbele ya Bwana, hata atakapokuwa amekwisha watoa adui zake mbele yake,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila mpiganaji wenu atavuka mto Yordani na mkiwa chini ya uongozi wa Mwenyezi-Mungu, mtawashambulia adui zetu mpaka Mwenyezi-Mungu awashinde,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na kama ninyi nyote mtakwenda mmejivika silaha ng'ambo ya Yordani mbele za BWANA mpaka awe amewafukuza adui zake mbele zake,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na kama ninyi nyote mtakwenda mmejivika silaha ng’ambo ya Yordani mbele za bwana mpaka awe amewafukuza adui zake mbele zake,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
tena kama kila mwanamume wa kwenu mwenye kuchukua silaha atavuka Yordani mbele za BWANA, hata atakapokuwa amekwisha watoa adui zake mbele yake,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila mpiganaji wenu atavuka mto Yordani na mkiwa chini ya uongozi wa Mwenyezi-Mungu, mtawashambulia adui zetu mpaka Mwenyezi-Mungu awashinde,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nanyi nyote mkiuvuka Yordani mbele ya Bwana na kushika mata ya vita, mpaka awafukuze adui zake mbele yake,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
tena kama kila mume wa kwenu mwenye kuchukua silaha atavuka Yordani mbele ya BWANA, hata atakapokuwa amekwisha watoa adui zake mbele yake,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila mupiganaji wenu atavuka muto Yordani na mukiwa chini ya uongozi wa Yawe, mutawashambulia waadui zetu mpaka Yawe awashinde,