Numbers 32:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na kuimiliki nchi. Mkisha fanya hayo, mtarudi, maana mtakuwa mmetimiza wajibu wenu kwa Mwenyezi-Mungu na ndugu zenu Waisraeli. Kisha Mwenyezi-Mungu atakubali nchi hii ya mashariki ya Yordani kuwa mali yenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
hadi wakati nchi itakapokuwa imeshindwa mbele za Mwenyezi Mungu, ndipo mtaweza kurudi na kuwa huru kutoka masharti yenu kwa Mwenyezi Mungu na Israeli. Nayo nchi hii itakuwa milki yenu mbele za Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na hiyo nchi kushindwa mbele za Bwana; ndipo baadaye mtarudi, nanyi mtakuwa hamna hatia mbele za Bwana, wala kwa Israeli; na nchi hii itakuwa milki yenu mbele za Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na kuimiliki nchi. Mkisha fanya hayo, mtarudi, maana mtakuwa mmetimiza wajibu wenu kwa Mwenyezi-Mungu na ndugu zenu Waisraeli. Kisha Mwenyezi-Mungu atakubali nchi hii ya mashariki ya Yordani kuwa mali yenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
hadi wakati nchi itakapokuwa imeshindwa mbele za BWANA, ndipo mtaweza kurudi na kuwa huru kutoka masharti yenu kwa BWANA na Israeli. Nayo nchi hii itakuwa milki yenu mbele za BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
hadi wakati nchi itakapokuwa imeshindwa mbele za bwana, ndipo mtaweza kurudi na kuwa huru kutoka masharti yenu kwa bwana na Israeli. Nayo nchi hii itakuwa milki yenu mbele za bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na hiyo nchi kushindwa mbele za BWANA; ndipo baadaye mtarudi, nanyi mtakuwa hamna hatia mbele za BWANA, wala kwa Israeli; na nchi hii itakuwa milki yenu mbele za BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na kuimiliki nchi. Mkisha fanya hayo, mtarudi, maana mtakuwa mmetimiza wajibu wenu kwa Mwenyezi-Mungu na ndugu zenu Waisraeli. Kisha Mwenyezi-Mungu atakubali nchi hii ya mashariki ya Yordani kuwa mali yenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nayo nchi hiyo itiishwe mbele ya Bwana, basi, baadaye mtarudi mkiwa watu wasiomkosea Bwana, wasiowakosea nao Waisiraeli; ndipo, nchi hii itakapokuwa yenu, mwichukue mbele ya Bwana, iwe yenu kabisa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na hiyo nchi kushindwa mbele za BWANA; ndipo baadaye mtarudi, nanyi mtakuwa hamna hatia mbele za BWANA, wala kwa Israeli; na nchi hii itakuwa milki yenu mbele za BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na kurizi inchi. Mukisha kufanya hayo, mutarudi, maana mutakuwa bila kosa mbele ya Yawe na wandugu zenu Waisraeli. Kisha Yawe atakubali inchi hii ya upande wa mashariki wa Yordani kuwa mali yenu.