Numbers 32:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini nawaonyeni kwamba msipotimiza ahadi yenu, mtakuwa mnamtendea Mwenyezi-Mungu dhambi; jueni kwa hakika kwamba mtaadhibiwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Lakini mkishindwa kufanya hili, mtakuwa mnatenda dhambi dhidi ya Mwenyezi Mungu; nanyi kuweni na hakika kuwa dhambi yenu itawapata.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini kama hamtaki kufanya neno hilo, ninyi mmefanya dhambi mbele za Bwana, nanyi jueni ya kwamba hiyo dhambi yenu itawapata hapana budi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini nawaonyeni kwamba msipotimiza ahadi yenu, mtakuwa mnamtendea Mwenyezi-Mungu dhambi; jueni kwa hakika kwamba mtaadhibiwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Lakini mkishindwa kufanya hili, mtakuwa mnatenda dhambi dhidi ya BWANA; nanyi iweni na hakika kuwa dhambi yenu itawapata.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Lakini mkishindwa kufanya hili, mtakuwa mnatenda dhambi dhidi ya bwana; nanyi kuweni na hakika kuwa dhambi yenu itawapata.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini kama hamtaki kufanya neno hilo, ninyi mmefanya dhambi mbele za BWANA, nanyi jueni ya kwamba hiyo dhambi yenu itawapata, hapana budi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini nawaonyeni kwamba msipotimiza ahadi yenu, mtakuwa mnamtendea Mwenyezi-Mungu dhambi; jueni kwa hakika kwamba mtaadhibiwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini msipovifanya hivyo, mtajiona kuwa watu waliomkosea Bwana, tena mtajua, ya kuwa makosa yenu yatawapata!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini kama hamtaki kufanya neno hilo, ninyi mmefanya dhambi mbele za BWANA, nanyi jueni ya kwamba hiyo dhambi yenu itawapata hapana budi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini ninawaonya kwamba musipotimiza ahadi yenu, mutakuwa mumemutendea Yawe zambi; mujue kwa hakika kwamba mutaazibiwa.