Numbers 32:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wajengeeni watoto wenu miji na kondoo wenu mazizi; lakini fanyeni kama mlivyoahidi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jengeni miji kwa ajili ya wanawake na watoto wenu, na mazizi kwa ajili ya mbuzi na kondoo wenu, lakini fanyeni yale mliyoahidi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, jengeni miji kwa ajili ya watoto wenu, na mazizi kwa ajili ya kondoo zenu; mkayafanye hayo mliotamka kwa vinywa vyenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wajengeeni watoto wenu miji na kondoo wenu mazizi; lakini fanyeni kama mlivyoahidi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jengeni miji kwa ajili ya wanawake na watoto wenu, na mazizi kwa ajili ya mbuzi na kondoo zenu, lakini fanyeni yale mliyoahidi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Jengeni miji kwa ajili ya wanawake na watoto wenu, na mazizi kwa ajili ya mbuzi na kondoo zenu, lakini fanyeni yale mliyoahidi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, jengeni miji kwa ajili ya watoto wenu, na mazizi kwa ajili ya kondoo zenu; mkayafanye hayo mliyotamka kwa vinywa vyenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wajengeeni watoto wenu miji na kondoo wenu mazizi; lakini fanyeni kama mlivyoahidi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basi, wajengeeni watoto wenu miji nayo makundi yenu mazizi, kisha yafanyeni mliyoyasema kwa vinywa vyenu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, jengeni miji kwa ajili ya watoto wenu, na mazizi kwa ajili ya kondoo zenu; mkayafanye hayo mliotamka kwa vinywa vyenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muwajengee watoto wenu miji na kondoo wenu mazizi; lakini mufanye kama vile mulivyoahidi.