Numbers 32:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha, watu wa Gadi na wa Reubeni wakamwambia Mose, “Sisi watumishi wako tutafanya kama ulivyotuamuru.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wagadi na Wareubeni wakamwambia Musa, “Sisi watumishi wako tutafanya kama bwana wetu anavyotuagiza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo wana wa Gadi na wana wa Reubeni wakanena na Musa, na kumwambia, Sisi watumishi wako tutafanya kama wewe bwana wangu utuagizavyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha, watu wa Gadi na wa Reubeni wakamwambia Mose, “Sisi watumishi wako tutafanya kama ulivyotuamuru.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wagadi na Wareubeni wakamwambia Mose, “Sisi watumishi wako tutafanya kama bwana wetu anavyotuagiza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wagadi na Wareubeni wakamwambia Musa, “Sisi watumishi wako tutafanya kama bwana wetu anavyotuagiza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo wana wa Gadi na wana wa Reubeni wakanena na Musa, na kumwambia, Sisi watumishi wako tutafanya kama wewe bwana wetu utuagizavyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha, watu wa Gadi na wa Reubeni wakamwambia Mose, “Sisi watumishi wako tutafanya kama ulivyotuamuru.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, wana wa Gadi na wana wa Rubeni walipomwambia Mose kwamba: Watumishi wako watafanya, kama bwana wetu anavyoagiza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo wana wa Gadi na wana wa Reubeni wakanena na Musa, na kumwambia, Sisi watumishi wako tutafanya kama wewe bwana wangu utuagizavyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha, watu wa Gadi na wa Rubeni wakamwambia Musa: Sisi watumishi wako tutafanya kama vile ulivyotuamuru.