Numbers 32:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wake zetu, watoto wetu na kondoo na ng'ombe, watabaki hapa katika miji ya Gileadi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watoto na wake zetu, makundi ya mbuzi na kondoo, na makundi ya ng’ombe wetu, watabaki hapa katika miji ya Gileadi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watoto wetu, na wake wetu, na kondoo zetu, na ng'ombe zetu wote, watakuwa hapo katika miji ya Gileadi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wake zetu, watoto wetu na kondoo na ng'ombe, watabaki hapa katika miji ya Gileadi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watoto na wake zetu, makundi ya mbuzi na kondoo, na makundi ya ng'ombe zetu, watabaki hapa katika miji ya Gileadi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watoto na wake zetu, makundi ya mbuzi na kondoo, na makundi ya ng’ombe zetu, watabaki hapa katika miji ya Gileadi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watoto wetu, na wake zetu, na kondoo wetu, na ng'ombe wetu wote, watakuwa hapo katika miji ya Gileadi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wake zetu, watoto wetu na kondoo na ng'ombe, watabaki hapa katika miji ya Gileadi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watoto wetu na wake zetu na mbuzi na kondoo wetu na nyama wetu wengine wa kufuga watakaa huku katika miji ya Gileadi,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watoto wetu, na wake wetu, na kondoo zetu, na ng’ombe zetu wote, watakuwa hapo katika miji ya Gileadi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wake zetu, watoto wetu na kondoo na ngombe, watabaki hapa katika miji ya Gileadi.