Numbers 32:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini sisi watumishi wako tuko tayari kwenda vitani chini ya uongozi wa Mwenyezi-Mungu. Tutavuka mto Yordani na kupigana, kama ulivyosema.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini watumishi wenu, kila mwanaume aliyevaa silaha za vita, watavuka ng’ambo kupigana mbele za Mwenyezi Mungu, sawa kama bwana wetu asemavyo.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
lakini sisi watumishi wako tutavuka, kila mume aliyevaa silaha za vita, mbele za Bwana, tuende vitani, kama wewe bwana wangu usemavyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini sisi watumishi wako tuko tayari kwenda vitani chini ya uongozi wa Mwenyezi-Mungu. Tutavuka mto Yordani na kupigana, kama ulivyosema.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini watumishi wenu, kila mwanaume aliyevaa silaha za vita, watavuka ng'ambo kupigana mbele za BWANA, sawa kama bwana wetu anavyosema.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini watumishi wenu, kila mwanaume aliyevaa silaha za vita, watavuka ng’ambo kupigana mbele za bwana, sawa kama bwana wetu anavyosema.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
lakini sisi watumishi wako tutavuka, kila mwanamume aliyevaa silaha za vita, mbele za BWANA, tuende vitani, kama wewe bwana wangu usemavyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini sisi watumishi wako tuko tayari kwenda vitani chini ya uongozi wa Mwenyezi-Mungu. Tutavuka mto Yordani na kupigana, kama ulivyosema.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
lakini watumishi wako wote wanaoweza kushika mata na kwenda vitani watavuka machoni pa Bwana kwenda kupigana, kama bwana wetu alivyosema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
lakini sisi watumishi wako tutavuka, kila mume aliyevaa silaha za vita, mbele za BWANA, tuende vitani, kama wewe bwana wangu usemavyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini sisi watumishi wako tuko tayari kwenda kwa vita chini ya uongozi wa Yawe. Tutavuka muto Yordani na kupigana, kama vile ulivyosema.