Numbers 32:30 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini kama hawatavuka mto Yordani pamoja nanyi na silaha zao, basi watamiliki sehemu ya nchi ya Kanaani pamoja nanyi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini kama hawatavuka pamoja nanyi wakiwa wamevaa silaha za vita, lazima wakubali kupokea milki yao pamoja nanyi katika nchi ya Kanaani.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
lakini ikiwa hawataki kuvuka pamoja nanyi, hali wamevaa silaha zao, ndipo watakuwa na milki zao kati yenu katika nchi ya Kanaani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini kama hawatavuka mto Yordani pamoja nanyi na silaha zao, basi watamiliki sehemu ya nchi ya Kanaani pamoja nanyi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini kama hawatavuka pamoja nanyi wakiwa wamevaa silaha za vita, lazima wakubali kupokea milki yao pamoja nanyi katika nchi ya Kanaani.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini kama hawatavuka pamoja nanyi wakiwa wamevaa silaha za vita, lazima wakubali kupokea milki yao pamoja nanyi katika nchi ya Kanaani.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
lakini ikiwa hawataki kuvuka pamoja nanyi, wakiwa wamevaa silaha zao, ndipo watakuwa na milki zao kati yenu katika nchi ya Kanaani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini kama hawatavuka mto Yordani pamoja nanyi na silaha zao, basi watamiliki sehemu ya nchi ya Kanaani pamoja nanyi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wa kwao wanaoweza kushika mata wasipovuka pamoja nanyi, basi, na wapate mafungu yao katikati yenu katika nchi ya Kanaani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
lakini ikiwa hawataki kuvuka pamoja nanyi, hali wamevaa silaha zao, ndipo watakuwa na milki zao kati yenu katika nchi ya Kanaani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini kama hawatavuka muto Yordani pamoja nanyi na silaha zao, basi watarizi sehemu ya inchi ya Kanana pamoja nanyi.