Numbers 32:31 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wa Gadi na wa Reubeni wakajibu, “Bwana, sisi tutafanya kama Mwenyezi-Mungu alivyotuambia sisi watumishi wako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wagadi na Wareubeni wakajibu, “Watumishi wako watafanya lile Mwenyezi Mungu alilosema.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wana wa Gadi, na wana wa Reubeni, wakajibu na kusema, Kama Bwana alivyotuambia sisi watumishi wako, ndivyo tutakavyofanya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wa Gadi na wa Reubeni wakajibu, “Bwana, sisi tutafanya kama Mwenyezi-Mungu alivyotuambia sisi watumishi wako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wagadi na Wareubeni wakajibu, “Watumishi wako watafanya lile BWANA alilosema.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wagadi na Wareubeni wakajibu, “Watumishi wako watafanya lile bwana alilosema.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wana wa Gadi, na wana wa Reubeni, wakajibu na kusema, Kama BWANA alivyotuambia sisi watumishi wako, ndivyo tutakavyofanya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wa Gadi na wa Reubeni wakajibu, “Bwana, sisi tutafanya kama Mwenyezi-Mungu alivyotuambia sisi watumishi wako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wana wa Gadi na wana wa Rubeni wakaitikia kwamba: Kama Bwana alivyowaambia watumishi wako, ndivyo, tutakavyofanya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wana wa Gadi, na wana wa Reubeni, wakajibu na kusema, Kama BWANA alivyotuambia sisi watumishi wako, ndivyo tutakavyofanya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wa Gadi na wa Rubeni wakajibu: Bwana, sisi tutafanya kama vile Yawe alivyotuambia sisi watumishi wako.