Numbers 32:37 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kabila la Gadi lilijenga miji ya Heshboni, Eleale, Kiriathaimu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nao Wareubeni wakajenga upya miji ya Heshboni, Eleale na Kiriathaimu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wana wa Reubeni wakajenga Heshboni, na Eleale, na Kiriathaimu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kabila la Gadi lilijenga miji ya Heshboni, Eleale, Kiriathaimu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nao Wareubeni wakajenga upya miji ya Heshboni, Eleale na Kiriathaimu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nao Wareubeni wakajenga upya miji ya Heshboni, Eleale na Kiriathaimu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wana wa Reubeni wakajenga Heshboni, na Eleale, na Kiriathaimu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kabila la Gadi lilijenga miji ya Heshboni, Eleale, Kiriathaimu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wana wa Rubeni wakaijenga miji ya Hesiboni na Elale na Kiriataimu
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wana wa Reubeni wakajenga Heshboni, na Eleale, na Kiriathaimu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kabila la Gadi likajenga miji ya Hesiboni, Eleale, Kiriataimu,