Numbers 32:38 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nebo na Baal-meoni (majina ya hiyo miji yalibadilishwa), na Sibma. Miji waliyoijenga waliipa majina mengine.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
pia Nebo na Baal-Meoni (majina ya hiyo miji yalibadilishwa) na Sibma. Miji waliyoijenga upya waliipa majina.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Nebo, na Baal-meoni, (majina yake yalikuwa yamegeuzwa) na Sibma; nao wakaiita miji waliyoijenga majina mengine.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nebo na Baal-meoni (majina ya hiyo miji yalibadilishwa), na Sibma. Miji waliyoijenga waliipa majina mengine.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
pia Nebo na Baal-Meoni (majina ya hiyo miji yalibadilishwa) na Sibma. Miji waliyoijenga upya waliipa majina.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
pia Nebo na Baal-Meoni (majina ya hiyo miji yalibadilishwa) na Sibma. Miji waliyoijenga upya waliipa majina.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Nebo, na Baal-meoni, (majina yake yalikuwa yamegeuzwa) na Sibma; nao wakaiita miji waliyoijenga majina mengine.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nebo na Baal-meoni (majina ya hiyo miji yalibadilishwa), na Sibma. Miji waliyoijenga waliipa majina mengine.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na Nebo na Baali-Meoni, wakiligeuza jina lake, na Sibuma; ndiyo majina, waliyoiita hiyo miji, waliyoijenga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Nebo, na Baal-meoni, (majina yake yalikuwa yamegeuzwa) na Sibma; nao wakaiita miji waliyoijenga majina mengine.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nebo na Bali-Meoni (majina ya hiyo miji yalibadilishwa), na Sibuma. Miji waliyoijenga wakaipa majina mengine.